WIKI iliyopita tulielezea sababu zinazofanya mtu kuugua vidonda vya tumbo na leo tutaeleza tiba yake baada ya kufanyiwa vipimo vya uchunguzi. Uchunguzi
Vipimo vya uchunguzi ambavyo hutumika katika kutambua tatizo la vidonda vya tumbo ni pamoja na kuangalia ndani ya utumbo ambavyo ni pamoja na kipimo kiitwacho Upper GI endoscopy au Gastroscopy. Kwa kutumia kipimo hiki, daktari huangalia moja kwa moja ndani ya utumbo wa mgonjwa kuona sehemu iliyo na vidonda pamoja na ukubwa wa tatizo lake. Vipimo hivi humuwezesha daktari kuchukua sehemu ya utumbo iliyoathiriwa kwa ajili ya kuchunguza zaidi maabara ili kutambua uwepo wa vidonda au tatizo jingine linalomsumbua mgonjwa tofauti na vidonda vya tumbo. Kipimo kingine kijulikanacho kama Barium…

GPL
No comments: